Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
E mungu angalia kunena kwangu,
Na usikie sauti ya kilio changu
Moyo wangu umechoka sana baba,
Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu
Nafsi yangu imegandamana na mavumbi
Niokoe mikononi mwa midomo ya mbwa
Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga
Niokoe mikononi mwa watu wabaya
fanya hima unisaidie nibebe
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka peke yangu
Safari ngumu no ndefu nibebe
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Macho yangu yamedhoofukwa machozi
Kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani
Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yangu
bali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana
Tulikula pamoja, tulisali pamoja, kanisani pamoja
Bwana asifiwe kwa sana
Kumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani
mwako
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Hata nliowasaidia nao wamenishuhudia uongo
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, yesu
nibebe
Dunia ikinibeba itanipeleka jehanamu, yesu nibebe
Marafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, yesu
nibebe
Baba nibebe, yesu nibebe,
Nibembeleze nibebe, nichukue mbinguni salama
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka pekee yangu safari ngumu siwezi
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nifike mbinguni nimwone Eliya (Amen)
Nifike mbinguni nimwone Yakobo (Amen)
Pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba(Amen)
Kwa njia za dhahabu nami nakatembelee(Amen)
O baba nibebe, yesu nibebe,
Nibembeleze nibebe, nichukue mbinguni salama
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nakwita Yesu unibebe mwokozi
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nifike mbinguni nikamwone baba (Amen)
Nifike mbinguni nakapumzike (Amen)
Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (Amen)
Niwaone wenzangu wale walionitangulia (Amen)
Nikale matunda ya mti wa uzima (Amen)
Yesu nibebe, baba nibebe,
Nibembeleze nibebe nichukue mbiguni salama
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka pekee yangu dunia ngumu pekee yangu
siwezi
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka pekee yangu safari ngumu ni ndefu siwezi
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
0 Commentaires